Friday, December 13, 2013

MIMI SIO FREEMASOON HUU NI MAHORO TU " HII NDIYO KAULI YA NISHA


Mcheza filamu za kitanzania Salma Jabu Nisha
amesema yeye sio “freemasoon“na kwamba
kinachoonekana mkononi mwake ni mchoro wa
nyota na herufi S yenye maana ya Salma.
Salna amesema hayo baada ya shabiki mmoja
kumuuliza swali ilo baada ya kuweka picha
kwenye mtandao wa “facebook“.
“mimi sio freemasoon huu mchoro ni wa nyota
na hii herufi ya S maana yake ni Salma hakuna
zaid ya hapo“

1 comment:

.