Mcheza filamu za kitanzania Riyama Ally
amesema hakuna ukweli wowote kuwa
wataarishaji wote wa filamu nchini wanatabia
za kutongoza wasanii wa kike ili wawape nafasi
kwenye filmu zao.
Akiongea na blog hii amesema mapenzi siku
hizi imekua kawaida na mdada unaweza
kutongozwa popote sio kwenye sanaa tu na
kuongeza kuwa kutongozwa ni faraja kwa
mwanamke kwani wameubwa kuchaguliwa na
sio kuchagua ila unaetongozwa unatakiwa
kusema hapana kwa watu wasio lazima katika
maisha yako
“kutongozwa kwa mwanamke ndio faraja kwani
tuliumbwa kuchaguliwa na sikuchagua ila wewe
unaetongozwa unatakiwa kusema hapana kwa
watu wasio lazima katika maishayako“
Amesema wasanii wa kike wanatakiwa kuvaa
nguo zenye maadili zitakazo wafanya wapewe
heshima ata na waandaaji wa filamu
Friday, December 13, 2013
Mmmmh!! RIYAMA ALLY "KUTONGOZWA KWA MWANAMKE NDIYO FARAJA ", KWANI TUMEUBWA KWAAJILI YA HILO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Anazidi kupasuka tu
ReplyDelete