Wednesday, December 4, 2013

MKE WANGU KANIFUMANIA AKANIMWAGIA MAJI YA MOTO


Mwanaume mmoja mzaliwa wa Afrika Kusini
amejikuta akimwagiwa maji ya moto na mke
wake. Mwanaume huyo kwa jina la Bokhi Zwela
ambaye alikuwa na mahusiano na mwanamke
mwingine wa nje, alifumaniwa na watu akiwa
chumba cha nyumba ya kulala wageni nchini
humo, wakati akiwa hana taarifa alisikia mlango
ukigongwa na alipokwenda kufungua alikutana
uso kwa uso na birika la maji ya moto
yaliyomjeruhi vibaya sana.

No comments:

Post a Comment

.