Mrembo aliyevaa kivazi cha ajabu
kilichoacha wazi sehemu zake nyeti
akisaidiwa na wasamaria wema baada ya
kuvaa khanga .
Stori: Issa Mnally na Richard Bukos
MREMBO wa haja ambaye jina halikupatikana
amenusurika kubakwa na wanaume baada ya
kuvaa kivazi kilichoacha wazi sehemu kubwa
ya maungo yake nyeti.
Mrembo huyo akizongwa na vijana wa
Kariakoo.
Tukio hilo lilijiri sehemu yenye mkusanyiko
mkubwa, Kariakoo jijini Dar ambapo mrembo
huyo alikuwa kwenye ‘ shopping ’ kwa ajili ya
sikukuu ijayo ya Krismasi .
Akisaidiwa kuingia kwenye gari.
Likiwa linarandaranda maeneo hayo, Ijumaa
Wikienda lilinasa laivu tukio hilo ambapo
mrembo huyo alivuliwa nguo hadharani na
kuacha ‘ vitu ’ njenje vikishuhudiwa hata na
watoto waliokuwa wakimzomea .
Vijana wakimzonga wakati akipanda gari.
Wanaume hao waliokuwa wakiongezeka na
kuanza kumshika sehemu nyeti,
walisababisha dada huyo kuanza kutoka
nduki ambapo alizama kwenye duka moja
kisha akasitiriwa kwa khanga na mama
mmoja msamaria mwema .
Akiwa ndani ya gari .
Alipotoka bado wanaume waliendelea
kumzingira ambapo ilimlazimu kutoa shilingi
elfu hamsini kisha kurukia kwenye ‘ kenta ’
iliyomuondoa eneo hilo na haikujulikana
alikoelekea kwa sababu gari hilo lilichomoka
mbio huku akiwa amekoma ubishi wa
kutembea nusu utupu.
Vijana wakilizonga gari alilopanda mrembo
huo.
Sunday, December 8, 2013
MREMBO NUSURA ABAKWE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hahahaaa amekoma
ReplyDelete