Akihojiwa katika kipindi cha ng'ari ng'ari, Shaa
alisema," mimi sikuwa sababu ya kuachana kwa
wao wawili (master jay na mama watoto
wake),kwani ugomvi au kuachana kwa watu
wawili huwa inahusu wao wenyewe wawili ila sio
mtu watatu, na kwakuwa mimi nilikuwa nimetoka
kutendwa ilichukua muda kidogo hadi kuja kuwa
na mahusiano na Master Jay hata yeye pia
aliniambia alikuwa... na maumivu yake ndio
mana ilichukua muda hadi kuwa na mahusiano.
Hivyo kwanini niachie bahati yangu, Nampenda
sana Master"
Tuesday, December 10, 2013
SHAA (mamaa wa sugua gaga) AKIRI KUWA NA UHUSIANO WA KIMAPENZI NA MASTER JAY..!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Wow so romantic and look good together ooh my so swEeet ooh nimejiDivaaaa oooh
ReplyDeleteahahaha umetisha Diva ya ngwasumaaaa!
ReplyDelete