Wednesday, December 4, 2013

NISHA "SIMRUDII MWANAUME NILIYE "DO" NAYE"


Msanii Machachari wa Bongo Movies Nisha Jabu
Amesema yeye Akiachana na Mwanaume hana
Desturi ya Kujipendekeza kwake hata kama yeye
ndio kasababisha waachanne..Amesema Kuna
Usemi usemao Wapenzi hawaachani lakini kwako
huo usemi si lolote kwake kwani yeye
akishaachana ndio basi tena hata mwanaume
ajie anatambaaa na magoti.....

No comments:

Post a Comment

.