Manager wa Wema Sepetu Martin Kadinda
Amejitokeza na kusema kuwa Baadhi ya Wasanii
wenzake na Wema Sepetu ndio wanao mchafua
Wema mitandaoni kwa kutumia Majina Mengine
kwa kile anachodai ni wivu wa maendeleo yake ,
kila siku wanabuni mbinu mpya ya kumchafua
mitandaoni...Pia amesema wamegundua kuna
Baadhi ya Marafiki zake ndio wanampiga
Vijembe wema kwa kujifanya watu
wengine...Wema Anapendwa na mashabiki zake
sana so wanao mpiga vijembe ni hao hao Bongo
Movies wasio penda Maendeleo
Wednesday, December 4, 2013
YABAINIKA KUWA BONGO MOVIES WAMUONEA WIVU WEMA SEPETU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment