Wednesday, December 4, 2013

NORAH AWAOMBA RADHI BONGO MOVIES


Msanii Nora wa Bongo Movies amewaomba
radhi wasanii wenzake pamoja na wengine kwa
kutokushiriki kwenye matatizo mbali mbali kama
vile misiba na mengine..
Msanii huyo alizungumza na Gazeti moja la
udaku na Kusema hali hiyo imemtokea mara kwa
mara kwa kuwa huwa yuko bize sana kiasi
anashindwa kushiriki katika shughuli hizo ..hii
inakuja baada ya Wasanii wa Bongo movies
Kumsusia Wema Sepetu katika Msiba wa Baba
yake ..

No comments:

Post a Comment

.