Kutokana na makampuni karibu yt ya simu Tz
kuwa na huduma hz za mobile money, Je
inapotokea mteja amefariki, makampuni
yanawajibika vipi kuhusu kurudisha pesa za
mteja wao kwa msimamizi wa mirathi au
warithi?
swali hiili linazingatia kuwa wateja wanaoweza
kutwa na mauti kwa vyovyote wanaweza kuwa
na akiba kidogo kwenye ac zao za mitandao ya
simu wanayotumia!
Je kuna sheria yoyote ambayo imeweka bayana
masuala haya?
kwa wenzetu walio kwenye makampuni ya simu
tafadhali mtusaidie kwa hili!
naomba kuwasilisha kwa mjadala!
Sunday, December 8, 2013
PESA ZA WATEJA WA M-PESA, TIGO PESA, AIRTEL MONEY NA Z- PESA WANAO FARIKI ZINAKWENDA WAPI?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ilo nalo swali etIiii
ReplyDelete