Wakazi wa eneo la Likoni, Mombasa nchini
Kenya walipatwa na mshangao mkubwa mara
baada ya mbuzi mmoja kujifungua mtoto
mwenye sura inayofanana na binadamu.
Tukio hilo lilifanya shughuli mbalimbali kwenye
kijiji hicho kusimama huku wakazi wa eneo hilo
wakiwa wanastaajabu juu ya tukio hilo la ajabu.
Alama za nyakati za mwisho hizi
ReplyDeletehatareeee sanaaa
ReplyDeletedaaaaaaa ni shidaaa kwa kweli
ReplyDelete