Ndoa ya msanii maarufu wa kinigeria
ajulikanaye kwa jina la Uche Iwuji
imesambaratika rasmi kufuatia picha zake
za uchi kuvuja mitandaoni....
Mrembo huyo ambaye mungu alimjalia
kupata mtoto mwezi wa nane alikuwa chini
ya himaya ya Mr. Juwon Lawal ambaye ni
Mnigeria mfanyabiashara wa kimataifa...
Katika mahojiano na mitandao ya nchini
hiyo, Mr. Juwon Lawal anadai kuwa akiwa
Uingereza kibiashara alipewa taarifa kuwa
mkewe alikuwa akigawa penzi kwa meneja
mmoja wa benk.
Taarifa hizo zilikuwa ni mawasiliano ya
BBM ya mke wake na jamaa ambapo ndani
yake kulikuwa na picha za uchi ambazo
alikuwa akimtumia meneja huyo
Wednesday, December 4, 2013
PICHA ZA CHAFU ZAIVUNJA NDOA YA MSANII HUYU WA FILAMU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment