Monday, December 16, 2013

SHIJA: SITEMBEI NA MASTAA


STAA wa filamu Bongo, Deogratius Shija
amesema katika maisha yake hafikirii kutoka
kimapenzi na mwanamke yoyote ambaye ni
msanii hususani kuingia naye katika maisha
ya ndoa .
Deogratius Shija .
Akizungumza na paparazi wetu alisema ,
kamwe hawezi kukurupuka akajiingiza
mkenge kumuoa msanii kwa kuwa hana
imani na wasanii wa kike na hajawahi
kujihusisha nao kimapenzi , kwani mastaa
wengi ni walaghai wanaumiza vichwa .
“Nawaza sana mwanamke wa kumuoa kwa
sasa lakini suala la kuoa msanii halipo
kabisa , nashangaa hata wale wanaonishauri
nimuoe Wastara siwezi kukurupuka kiivyo
simjui undani wake kikubwa ni kumuomba
Mungu anipatie mke mwema, ”alisema Shija

No comments:

Post a Comment

.