Thursday, December 12, 2013

SHILOLE AANGUSHA JUMBA , MIL . 50 ZATUMIKA


Na Hamida Hassan
Staa wa muziki wa mduara Zuwena
Mohammed ‘ Shilole’ baada ya kudondosha
ndinga aina ya Toyota Lexus lenye thamani
ya sh . mil. 25 ambalo alikuwa na ndoto nalo,
sasa anashusha mjengo wenye vyumba vinne
ulioko Kimara Bonyokwa, Dar .
Zuwena Mohammed ‘ Shilole’ .
Akipiga stori na Amani, Shilole alisema kuwa
anamshukuru Mungu ameweza kusimamisha
mjengo wake na kuonekana mpaka sasa
ingawa haujaisha lakini amefanikiwa kutumia
sh . millioni 50 .
Mjengo wa Shilole wenye vyumba vinne
ulioko Kimara Bonyokwa , Dar .
“Sijaimaliza nyumba hiyo lakini mpaka hapo
ilipofikia nimeshapoteza millioni 50 ila
nashukuru kuona nimefanikiwa ” alisema
Shilole.

1 comment:

.