Thursday, December 5, 2013

SIMBA NA YANGA KUTUMIA VIKOSI VYA KWANZA MECHI YA MTANI JEMBE


KAMPUNI ya TBL kupitia Bia yake ya
Kilimanjaro ambayo ndiyo wadhamini wa
mechi ya kirafiki ya nani mtani jembe kati ya
Yanga na Simba leo imesistiza kuwepo kwa
pambano hilo Desemba 21 mwaka huu .
Viongozi wa timu hizo nao wamethibitisha
kushiriki pambano hilo na kutumia vikosi vya
kwanza wakati wa mkutano na wanahabari
uliofanyika Makao Makuu ya TBL jijini Dar

No comments:

Post a Comment

.