Mwalimu wa judo mwenye degree 3 za
mchezo huo hapa Tzee na kituo chake
kinachoitwa ‘Oysertabay Branch’
ambacho hutembelewa na wakuu wa
Judo kila baada ya miaka 3 kutoka
Japan, Tedyson Ellam ambaye pia ni
muigizaji aliyecheza kama main
character kwenye filamu ya ‘The
Return of the Kidnapper’ ambayo ni
muendelezo wa filamu iliyoitwa
‘Kidnapper’ amekutana na BK Cop na
kutoa dukuduku lake juu ya
mahusiano ya waigizaji location.
Tedyson katoboa siri juu ya wasanii
wa bongo movie wanavyoanzisha
mahusiano ya kimapenzi wenyewe
kwa wenyewe,
“Maranyingi unaposikia msanii ana
uhusiano wa kimapenzi na msanii
mwenzie wengi wao ni kutokana na
kushindwa kuvumilia hasa wakati
wanapokuwa location. Kuna ‘scene’
nyingine zina lazimu mtu kuact kama
mke au mme wa mtu kwenye filamu
hususani za love story, so yale
mazingira ambayo wana act wasanii
yanawaathiri wasanii hance badaye
kutamaniana ,kila mmoja anabaki
akifikiria kuendeleza uhusiano
uliokuwepo wakati wanaact. In short
filamu inakuwa ndio chanzo cha kuwa
pamoja kimapenzi.”
Credit-BabkubwaMagazine
Thursday, December 12, 2013
SIRI YA WASANII WA BONGO MOVIE LOCATION YAFICHULIWA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Sio kimapenzi maana wanatamaniana so kutaman sio mapenzi
ReplyDeleteHawa nao tushawachoka!
ReplyDelete