First lady wa label ya YMCMB Nicki Minaj
amesherekea birthday yake akitimiza miaka 31
na mafanikio ya kujivunia kwenye kazi yake ya
muziki.
Party hiyo ikifanyika huko L.A na restaurant
nzima ilibadilika rangi yake na kuwa ya pink
maalum kwa ajili ya party ya Minaj ambayo
ilihudhuliwa na Lil Twist,Safaree boyfriend wa
Nicki Minaj na watu wengine.
Nicki aliletewa keki mbalimbali pamoja na
stripper pole maalum kwa ajili ya party hiyo.
Tuesday, December 10, 2013
TAZAMA BIRTHDAY YA NICK MINAJ NA CAKE ZAKE NI NOMAA ASEE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Wacha wee
ReplyDeleteGaGa noma sana!
ReplyDelete