Mwamvita Makamba, Ni mtoto wa Muheshima
Makamba aliyekuwa mkuu wa Mkoa Wa Dar es
salaam , na baadae Mwenyekiti wa CCM kitaifa,
Mwamvita ana Masters ya Politics and
International Relations na kwasasa ni Chief
Officer: Marketing & Corporate Affairs kampuni
ya Vodacom Tanzania.
Tujifunze kwa huyu dada..
Mmmh very smart
ReplyDelete