picha ya bibi harusi akiwa katika mshangao
Desemba 9, 2013 Wanandoa wapya na wenye
furaha wanusurika ajali mbaya ya mwisho wa
mwaka huko lagos nchini Nigeria.
Ajali hiyo ilitokea wakiwa njiani kuelekea katika
mapokezi yao siku ya Jumamosi Desemba 7,
2013.
Wao waliponea chupuchupu kifo katika ajali
iliyoshirikisha gari la mizigo lori na magari
mengine mawili.
Maafa hayo yaliyotokea karibu sana na Otedola
daraja la Alausa juu ya Lagos majira ya
saa 16:45.
Vyanzo vya habari katika eneo hilo vinasema lori
hilo lilipoteza break na kulivaa gari lingine
lililokuwa chini kidogo katika mteremko huo.
Maharusi walipoona hivyo inaripotiwa waliruka nje
ya gari lao kwa ajili ya kujiepusha na ajali hiyo.
Walifanikiwa kukwepa kabla gari lao halijafikiwa
kugongwa.
Ajali hiyo ilisababisha foleni kubwa katika eneo
hilo. Jambo la msingi na kushukuru ni kwamba
maharusi hao walipona habari hiyo.
Tuesday, December 10, 2013
WANANDOA WANUSURIKA AJALI WAKIWA BARABARANI KUELEKEA KUPOKELEWA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Lazima ukaeee
ReplyDeleteDuh afu dizain km mja mzito?
ReplyDeleteAsee pole yake dah
ReplyDelete