MSANII wa muziki na filamu Bongo, Baby
Joseph ‘Madaha’ amemchana staa
mwenzake , Zuwena Mohamed ‘Shilole ’ kwa
kumwambia ni mcheza muziki wa uswahilini
(vigodoro ).
Zuwena Mohamed ‘Shilole ’.
Kauli hiyo ya msanii huyo anayetamba na
Wimbo wa Summer Holyday , ameitoa siku
chache baada Shilole kutema cheche zake
kuwa Madaha aache kumfuatilia kwani
amekuwa akiingia kwenye anga zake mara
kwa mara .
Baby Joseph ‘Madaha’ .
“Hivi huyu ana akili au matope,
nimfuatefuate ana nini ? Hebu aangalie
muziki wangu ninaopiga na wake . Yeye ni wa
hapa hapa , mcheza vigodoro , ” alifunguka
Madaha.
Thursday, February 27, 2014
BABY MADAHA : SHILOLE NI MCHEZA VIGODORO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Madaha naeee
ReplyDelete