Friday, February 21, 2014

OMMY DIMPOZ ALA KICHAMBO CHA MAANA BAADA YA KUWEKA HII PICHA INSTAGRAM


Jana kupitia
akaunti yake
ya instagram
Ommy
Dimpoz
aliweka picha
hiyo hapo juu
inayomwonyesha akiwa anafanyiwa make
up. Ommy Dimpoz ambaye kwa sasa yupo
Uingereza alikokua na show
alishambuliwa na followers wake katika
comment kwenye picha hiyo. Na haya chini
ndo baadhi ya maoni waliyotoa watu
kuhusu picha hiyo.
zayaminnah Yah its normal for an artist to
apply thoz kinda thingz b4 video shooting
n thingz lyk thoz.but i just ddnt lyk the
idea of u sharing it...in normal lyf its
boring..so pliz mm km ndugu yko naomba
ufute.i just dont lyk the
snap.inaninikera.Omari ifute.sorry 4 that.
erbum96 Ahhh nn kama unajisoma...ww n
kidume mbna make up z nn.....wachie
wenywe n kama unfanya bc liweke moyoni
ommy8 Toka lini mwanaume anajitambua
akapaka make up mama tuachie wenyewe
wanawake mwanaume make up wapi na
wapi au me ushamba bado unanisumbua
petersimbila Jamani mtu anapomkosoa mtu
sio kama anamchukia ila anammweka
kwenye njia so aina maana nyie wangine
mjitie veherehere kuongea maneno
mtafikiri ommy ndungu yenu kumbe ni
rafiki...bro dimpoz umeingia huku ili
upate frnds kibao jua kila mmoja
anamacho tofauti pokea linalokufaa fanyia
kazi lisilofaa weka pembeni...big up
kwako kazi nzuri ngoma za maana mmh
jipange we ni kioo cha
jamiii.@ommydimpoz
ommy8 Hahahhaaha me na ww cjui
mshamba nani hivi nani aliekwambia
ukijipaka make up hutoki jasho ni
ulimbukeni mwanaume kujipodoa sasa
unajipodoa huo
si.................. @gracesarakikya19
zayaminnah Heey sorry km kuna
nliowakera mpk kiasi cha kuitwa
mswahili... @kaybeyb @freshfetty c kwa
ubaya wala cmchukii.ni ndugu yngu
namjua kuliko nyie mnaemuona kwny
pix,tv na kumckia kwny radio.i luv him n
he knwz tht.i always dnt comment on his
post kabisa but this i just felt lyk i hav to
advise.its not must tht he followz it.ila
Ommy i luv u thts why am telling u
this...this post isnt gud pliz for mum's sick
just delete it.its nt easy 4 her to see it coz
ig c rahis may b mtu amwambie.but she
wont be happy wth..me either..listen to
your funs but wanakupoteza..ur still a
Muslim boy/still An African boy... anwys i
wont deny u coz ur still my family n still
got mad luv to
zayaminnah Ok sawa... @dollyzeynat thnks
4 ur advise.jion njema. Though uislam
haujamkataza mwanamke kujiremba na
haujahalalisha mwanaume kujipodoa.
Anyways he can wht he think iz ryt for em
as Artst yah..but he shuldnt share some
pix...nyingn akae nazo kwny gallery ....NB:
Ur an Artist yes but dnt allow tht to mek u
forget tht ur a muslim boy & raised in such
a respected family.dnt let ur superstar life
drives u 2 whtever ur fans says ur ryt...dnt
allow evrthng of urs to be known by the
whole world.kip some for urself.truly
pissed..sorry evrybody especially my
inlaw@iam_jojo12 culdnt stop my self sayin
it however i tried...

No comments:

Post a Comment

.