Sunday, February 23, 2014

HAAA ! WOLPER AFANYIWA MASAJI LAIVU, ADAI KUHISI RAHA YA AJABU !


MAKUBWA! staa wa sinema za Kibongo,
Jacqueline Wolper Massawe amejianika
akifanyiwa masaji laivu .
Wolper a . k.a Gambe ‘ alifanya yake’ ndani
ya saluni (massage parlor) moja iliyopo
maeneo ya Mwenge jijini Dar.
Mara baada ya tukio hilo huku akiwa
‘amefotolewa mapicha ’ ambayo
aliyatundika kwenye ukurasa wake wa
Instagram, mwanadada huyo alielezea jinsi
alivyohisi raha ya ajabu wakati akifanyiwa
masaji .
“Asante … (akitaja jina la saluni ) , kwa raha
niliyopata leo …, mi siyo mchoyo kwa kweli
karibuni nanyi mpate afya. Nimefurahia
walah , ” aliandika Wolper .
Hata hivyo , tukio hilo liligeuka gumzo huku
baadhi ya mashabiki wakimsifia na wengine
wakimponda.
NYONGEZA TOKA KWA TEAM WAKISHUA ADMIN:
Hii picha Jaq wolper aliiweka instagram na kuandika amefamyiwa massage ktk kituo hicho na akasema yeye mchoyo so akatoa jina la kituo hicho massage pamoja na picha kadhaa za center hiyo sikujua hii habari km itauza gazeti duh!

No comments:

Post a Comment

.