ALICHOKIANDIKA MSANII DIAMOND KUHUSU ALI
KIBA KUJIUNGA NA TAASISI YA SOCIAL CREDIT
COMPANY NA KUPATIWA MKOPO. KIUKWELI SIO
KITU KIZURI ALICHO POST DIAMOND KATIKA
UKURASA WAKE WA TWEETER:
Nanukuu: "Duh...! Nimesikia jamaa eti amejenga
nyumba kafikia kwenye RINTA kashindwa
kuimalizia kuficha aibu yake ameamua kujiunga
na ile taasisi inayotoaga mikopo isiyokua na
RIBA inayoendeshwa na RIDHIWANI KIKWETE.
Hii inaonesha muziki umekukataa dili zimebuma
shows zimekata mapesa yamekimbia. Duh Pole
sana SINGLE BOY ALI KIBARAZA"
HAYO NDIO MANENO ALIYOANDIKA MSANII
DIAMOND KATIKA TWEETER. ALIKIBA AKAMJIBU
KAMA IFUATAVYO:
Nanukuu: "Yote Maisha ndugu yangu, kuna
matajiri duniani wanapesa nyingi lakini
wanapanga foleni kwenye mabank kuomba
mikopo sembuse mimi Ali Kiba?! Kweli sikatai
nimejiunga na SOCIAL CREDIT COMPANY na
nimekopeshwa kwa faida yangu mimi na maisha
yangu wewe kinachokuuma nikitu gani mpaka
unakosa chakupost unazungumzia maisha yangu?
Huwa sipendi Scandle kwa sababu wewe nakujua
unapenda Scandle na kujibizana mitandaoni
hizo ni tabia zakike. Kumbuka haya maisha kuna
leo nakesho, maisha ni mzunguko wa sifuri wote
tunazungukia sehemu moja. Kama kimekuuma
mimi kujiunga na kupewa mkopo au umeona
nafaidi sana nawewe jiunge ingia katika hii
tovuti http://socialcredit.wapka.mobi ujiunge,
mikopo haijaandikwa apewe masikini, tajiri au
mtu maarufu wote sawa duniani na mikopo ndio
kimbilio letu masikini kama wewe mwenzetu
unajiona tajiri sawa ila sipendi kua
unanizungumzia. Peace & Love.
Thursday, February 27, 2014
KALA JEREMIAH AMFUNGUKIA DIAMOND LIVE!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
kuma sana yule domo...anajiona kafika mamaeee mwisho wake unakaribia
ReplyDeletehuhuuuu umeone eee da big dawg......
ReplyDeleteHahahahaha
ReplyDelete