MWANADADA mtangazaji na mjasiriamali ,
Maimartha Jesse anaonekana kuukaribisha
upofu kufuatia kukithiri kutumia gundi
katika kujipachika kope bandia .
Maimartha Jesse.
Kwa mujibu wa daktari wa Ijumaa ,
wanawake wanaobandika sana kope bandia
wanajiweka kwenye hatari ya kupata upofu
ambapo Mai ni miongoni mwao .
Katika tukio la hivi karibuni mwanadada
huyo alionekana akiwa amejibandika gundi
katika harakati ya kujibandika kope hizo
na alipoulizwa na paparazi wetu kama
haogopi madhara yake alisema:
“Huo ni urembo tu, nimebandika hivyo
nikiwa katika maandalizi ya kubandika
kope katika macho yangu , sidhani kama
naweza kupata tatizo lolote .”
Friday, February 28, 2014
MAIMARTHA AUKARIBISHA UPOFU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment