Haya sasa ile Movie ya Telexfree Bado
yaendelea..Gazeti la Mtanzania nalo
limecharuka na kuwaasa wananchi kuhusu
biashara hiyo inayoendelea ..Pia Radio Mbali
mbali kama Magic FM naona
wamelichachamalia hilo swala japo bado kuna
watu vichwa ngumu ukiwaambia kuhusu
Telexfree kuwa sio halali unaishia kutukanwa
mpaka matusi ya Nguoni....Haya Wale Wa Deci
Mpyaaa Fungukeni hapa
No comments:
Post a Comment