Wednesday, February 19, 2014

ZILIZO BAMBA LEO INSTAGRAM: PENNY AMFANYIA BIRTHDAY CAMERAMAN WA DIAMON,TEAM WEMA WAMPAKA PENNY

Kifesi ambaye ni mpiga picha wa wasafi classic ya Diamond amepost picha za birthday instagram na kumshukuru Penny kwa kumfanyia birthday hiyo....sambamba na dada wa diamond nae alipost picha hizo za birthday....sasa team wema wamemkandia Penny kwa "kujipenzisha" kwa camera man wa Diamond akiwa na iman kuwa huwenda daimond atamfikiria tena.,Diamond ambaye sasahivi amerudiana na Wema. Team wema hao wakamalizia kusema Kifesi hana ubavu wa kumshawishi Diamond akurudie sana sana unajichoresha na kujipa maumivu bure....wewe msomaje unasemaje hapa???

1 comment:

.