Stori : Mayasa Mariwata
CHIPUKIZI wa Bongo Fleva, Ally Timbulo
amefunguka kuwa alimwagana na mwigizaji
Skyner Ally ‘Skaina ’ kwani aligundua kuwa
ana uhusiano na Mbongo Fleva mwenzake ,
Emmanuel Elibariki ‘ Nay wa Mitego’ .
‘Akikonfesi ’ mbele ya kinasa sauti cha
Ijumaa Wikienda , Timbulo alisema ishu hiyo
ilitokea miaka kadhaa iliyopita ambapo
‘alimsarendia ’ mlimbwende huyo ili awe
mpenzi wake na aliposhtuka kuwa ana
uhusiano na Nay wa Mitego , fasta alibadili
uelekeo.
“Daah ! Nilipogundua ana uhusiano na Nay ,
fasta nilimpotezea , ” alisema Timbulo ,
alipotafutwa Skaina , alisema : “ Usiniulize
hizo habari , ulivyosikia ndiyo hivyohivyo. ”
Sunday, February 23, 2014
TIMBULO NA PENZI LA SKAINA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment